BWIZA ADVERTISING NETWORK
Bwiza

Ruhango: Mwanamke auawa baada ya siku chache kuachana na mumewe

Habari Mpya
Fred Rugira
By Fred Rugira
Kuwa Gatatu, 27 Ugushyingo 2019 saa 14:14
Iminota 1 yo gusoma6 Abasomye
Ruhango: Mwanamke auawa baada ya siku chache kuachana na mumewe

Mwanamke Mukarurangwa Mkazi Tarafa ya Bweramana Wilayani Ruhango ameuawa baada ya na watu amabao hawajatambulika.

Kisa hicho ni baada ya siku chache kufarakana na mumewe Lando juu ya kutoelewana.

Kwa hilo, Mahakama ilitoa uamuzi kwamba mwanamke aendelee kuwalea watoto.

Kwamamaza (Google Ads)bwiza.com

Mashahidi wamesema, Mukarurangwa amekatwa wakati ambapo watoto hawakuwa nyumbani pia mchungaji wa ng'ombe alikuwa hayupo.

Upelelezi umeanzishwa na kuwafunga mchungaji ng'ombe na aliyekuwa mume wa malehemu, Lando.

Msemaji wa Ofisi Kuu ya Uendeshamahtaka nchini, Marie Michelle Umuhoza amesema hilo limetokea na kuhamasisha watu wasiuane kwani ni kinyume na mila za Wanyarwanda.

Fred Rugira

Inkuru yanditswe na: Fred Rugira

Umunyamakuru wa BWIZA.COM wanditse inkuru 4,448.