Bwiza

Rwanda: Kesi 46 za itikadi ya mauaji ya kimbari zapatikana wiki moja

Siasa
Fred Rugira
By Fred Rugira
Kuwa Mbere, 13 Mata 2020 saa 17:52
Iminota 1 yo gusoma3 Abasomye
Rwanda: Kesi  46 za itikadi ya mauaji ya kimbari  zapatikana wiki moja

Polisi chini Rwanda imetangaza kumejitokeza kesi 46 za itikadi ya mauaji ya kimbari zapatikana wiki moja.

Tangu wiki ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi ianze, kesi hizo husika na itikadi ya mauaji ya kimbari zimeoneka.

Msemaji wa Polisi nchini humo, CP John Bosco Kabera amesema kuna uhalifu kama vile kuharibu nyuma na mali za walionusurika, maneno mabaya na mambo mengine.

Kwamamaza (728x90)

Umwanya w'Iyamamaza ry'Ubucuruzi - BWIZA ADS

Kwamamaza hano: isaackamis@gmail.com | +250 788 000 000

Hata hivyo, serikali ilianzisha miradi mingikupamabana na tatizo hilo lakini halijatatuliwa bado.

Nchini humo, kuwa na hatia ya uhalifu wa itikadi ya mauaji ya kimbali ni kosa linaloadhibiwa kwa kifungo.

Fred Rugira

Inkuru yanditswe na: Fred Rugira

Umunyamakuru wa BWIZA.COM wanditse inkuru 4,448.